Watu wanataka kumalizia vigungu vya hela mwaka wa fedha unaisha bwashee. Shituka. Kipindi hiki hadi juni 15 wafanyakazi wa serikali wana hekaheka nyingi zisizo na msingi ili hela zisirudingazina😃😃😃😃Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy.
Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server kuwa wata generate numba zenu hakuna?.
Watu wengi wanapoteza vitambulisho,kuharibika je ? Mnahuduma ya kurudusha vitambulisho.
Hizi namba zanida zina mfumo ambao mwananchi wa kawaida kuingilia mfumo ni ngumu.
Hii ndio idara tunayotegemea ila na yenyewe imeanza kuwa vichekesho.
SahihiNimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy.
Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server kuwa wata generate numba zenu hakuna?.
Watu wengi wanapoteza vitambulisho,kuharibika je ? Mnahuduma ya kurudusha vitambulisho.
Hizi namba zanida zina mfumo ambao mwananchi wa kawaida kuingilia mfumo ni ngumu.
Hii ndio idara tunayotegemea ila na yenyewe imeanza kuwa vichekesho.
Waarabu wengi wana NIDA, ila wa-Tanzania halisi wanazungushwa ili wakate tamaa.Kuna msemo unaosema " don't measure kwenye miner. Nida wanameasure kwenye miner. Badala watafute watu ambao sio raia wenye vitambulisho na namba za nida wanaenda kutafuta stationary. Hao wa stationary wakiacha kutoa copy vitambulisho itawasaidia nini? Tz wakongo na warundi wana vitambulisho na kuna raia wa tz kibao hawana vitambulisho kwa ajili ya garama.
Nadhani ni vema kama wangefocus kusajili wananchi ambao hawana vitmbulisho kuliko kuhangaika na mastationary