musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana ujasiri tena wa kujenga hoja,kusimamia wanachokiamini ambazo ni kati ya sifa za mtu alieelimika
Hawa wana ujasiri wa kumsifia Ibrahim Traore mbele za wajukuu zao huko baadae?
Sisemi watu wafanye mapinduzi ya kijeshi...lakini kwa karma na uwezo binafsi kila kijana alivyojaaliwa tulipaswa kuwa huru kuamua mustakabali wa nchi yetu kesho na si kuangalia leo tuu...huko ni kufikiri kama nguruwe
Tujitafakari vijana...Kenya walau walionesha kitu cha tofauti