musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Unataka waandamane? Unadhani mabadiliko ya kweli yanaletwa kwa kuandamana? Cha kufanya umri wa kustaafu upunguzwe, serikali iangalie namna ya kuwapatia ajira vijanaTujitafakari vijana...Kenya walau walionesha kitu cha tofauti
Boss hii diversification of economy yako, umelenga kumaanisha nini?Unataka waandamane? Unadhani mabadiliko ya kweli yanaletwa kwa kuandamana? Cha kufanya umri wa kustaafu upunguzwe, serikali iangalie namna ya kuwapatia ajira vijana
Bora wafanye (diversification of economy) ili fursa zionengezeke.. vinginevyo kuna siku patachimbika hapa
CCM ndio tatizo la Tanzania.Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana ujasiri tena wa kujenga hoja,kusimamia wanachokiamini ambazo ni kati ya sifa za mtu alieelimika
Hawa wana ujasiri wa kumsifia Ibrahim Traore mbele za wajukuu zao huko baadae?
Sisemi watu wafanye mapinduzi ya kijeshi...lakini kwa karma na uwezo binafsi kila kijana alivyojaaliwa tulipaswa kuwa huru kuamua mustakabali wa nchi yetu kesho na si kuangalia leo tuu...huko ni kufikiri kama nguruwe
Tujitafakari vijana...Kenya walau walionesha kitu cha tofauti
Ujana wa Ibrahim Traore haumaanishi nyuma yake hakuna WAZEE.....Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana ujasiri tena wa kujenga hoja,kusimamia wanachokiamini ambazo ni kati ya sifa za mtu alieelimika
Hawa wana ujasiri wa kumsifia Ibrahim Traore mbele za wajukuu zao huko baadae?
Sisemi watu wafanye mapinduzi ya kijeshi...lakini kwa karma na uwezo binafsi kila kijana alivyojaaliwa tulipaswa kuwa huru kuamua mustakabali wa nchi yetu kesho na si kuangalia leo tuu...huko ni kufikiri kama nguruwe
Tujitafakari vijana...Kenya walau walionesha kitu cha tofauti
Walikuambia hivyo!? Au unewajazia manenoUjana wa Ibrahim Traore haumaanishi nyuma yake hakuna WAZEE.....
Vijana wa UVCCM walitoa taswira njema kuwa wazee wanaweza kuwa MBELE ama NYUMA ya vijana.......
Mapinduzibsio lazima yawe ya mtutu...kunaa mapinduzi ya fikra...unafikiri nje ya box...wakati mwingine mfumo fulani unaweza usitupe majibu...haimaanishi hatuwezi fikiria namna nyingineBaada ya kumuona traorè na kupata stry yake kidogo, ushakuwa mtu unayewaza kupindua nchi. Anza wewe kupindua tuone utafikia wapi? Pindua kama traorè maana sijui umejua imetokeaje. Na je! Sijui umejua umri na ranking yake na kwanini si ranking za juu yake. Unadhani kupindua maana yake kupigana vta au kuua raisi. Jaribu unachowaza au rudi tena fatilia story ya huyo kijana kwanini yupo nafasi hiyo.
Maandamano wapi imeandikwa ni dhambi?Unataka waandamane? Unadhani mabadiliko ya kweli yanaletwa kwa kuandamana? Cha kufanya umri wa kustaafu upunguzwe, serikali iangalie namna ya kuwapatia ajira vijana
Bora wafanye (diversification of economy) ili fursa zionengezeke.. vinginevyo kuna siku patachimbika hapa
Kama nyie wenyewe hata kijana akiwa kiongozi kupitia ccm mnasema anachumia tumbo, ana shobo. Mnataka vijana waende chadema wakaandamane barabarani. Unadhani kwa macho yako ya nyama utaona, ndoto za vijana hao?Mapinduzibsio lazima yawe ya mtutu...kunaa mapinduzi ya fikra...unafikiri nje ya box...wakati mwingine mfumo fulani unaweza usitupe majibu...haimaanishi hatuwezi fikiria namna nyingine
Wapi nimesema ni dhambi?Maandamano wapi imeandikwa ni dhambi?
Bora wasira kuliko vijana wa sisiemu!! Kwanini?Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana ujasiri tena wa kujenga hoja,kusimamia wanachokiamini ambazo ni kati ya sifa za mtu alieelimika
Hawa wana ujasiri wa kumsifia Ibrahim Traore mbele za wajukuu zao huko baadae?
Sisemi watu wafanye mapinduzi ya kijeshi...lakini kwa karma na uwezo binafsi kila kijana alivyojaaliwa tulipaswa kuwa huru kuamua mustakabali wa nchi yetu kesho na si kuangalia leo tuu...huko ni kufikiri kama nguruwe
Tujitafakari vijana...Kenya walau walionesha kitu cha tofauti
Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana ujasiri tena wa kujenga hoja,kusimamia wanachokiamini ambazo ni kati ya sifa za mtu alieelimika
Hawa wana ujasiri wa kumsifia Ibrahim Traore mbele za wajukuu zao huko baadae?
Sisemi watu wafanye mapinduzi ya kijeshi...lakini kwa karma na uwezo binafsi kila kijana alivyojaaliwa tulipaswa kuwa huru kuamua mustakabali wa nchi yetu kesho na si kuangalia leo tuu...huko ni kufikiri kama nguruwe
Tujitafakari vijana...Kenya walau walionesha kitu cha tofauti
Wameniambia....Walikuambia hivyo!? Au unewajazia maneno