Kicheko cha wiki eeeend

Kicheko cha wiki eeeend

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Siku moja MWANAMKE mmoja tajiri
aliandka kwenye FACEBOOK Accont yake akasema kwamba

''ANAHITAJI MWANAUME AMBAE
HATOMPIGA WALA KUKIMBIA NA HELA
ZAKE'' baada ya mda alipata comment
nying sana toka kwa wanaume
mbalimbali,

baada ya siku kupita kuna mgeni alienda
kwake akabisha hodi na KUGONGA
mlango sana,kufungua akamwona mtu

ambae hana MIKONO WALA MIGUU
akamwuliza NIKUSAIDIE NINI!!?? jamaa
akamjibu ''NLIONA TANGAZO LAKO

FACEBOOK UNATAKA MWANAUME
AMBAE HATOKUPIGA WALA KUKIMBIA

NA HELA ZAKO na MIMI SI UNAONA SINA
MIKONO YA KUKUPGA WALA MIGUU YA

KUKIMBIA NA HELA ZAKO??? yule
mwanamama akajibu kwa kusema SAWA!

kisha akamuliza tena je,kitandani mambo
unayaweza??? Jamaa akajibu ''UNADHANI
HUU MLANGO NIMEGONGA KWA
KUTUMIA NIN???
 
He he he ha ha ha kweli kicheko cha wiki..! ngo, ngo, ngo limekofti..!
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Et huu mlango nmegonga kwa Hi kutumia nin....
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom