Wanajamvi naomba
Kujua Kwa wajuz au
Waliowahi kutumia kichocheo
Cha NANO ENERGIZER
ambacho kinapata airtime
Katika tv mbalimbali nchini.
Kichocheo hiki ni Kweli
Kinasaidia kuifanya engine
ya gari iliyochoka kuwa imara ?
Je ni Kweli kinapunguza ulaji
Wa Mafuta Kwa asilimia 8-20?
Karibuni wajuzi