Mr Kiroboto
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 350
- 90
Wana JF naomba mnieleze neno "kwikwi" kwa kiingereza.Asanteni
Kichomi ni STABBING PAIN
jichomi kwa kingereza ni sharp pain or crampKichomi kwa kiingereza ni "crap"
nadhani kichomi kwa kidhungu ni ''stitches'', ila uzuri wa google hata ukiweka ulizo ambalo ni descriptive utapata.ila kichomi chini ya kitovu?ama ni maumivu?kama ni mwanamke it might be something to do with kizazi ama njia ya mkojo
Wana jf naomba kujua kochomi kwa kiingereza kinaitwaje?
kichomi= heartburn.
kichomi= heartburn.