Kichomi kwa mama mjamzito juu ya tumbo karibu na chembe Moyo. Nini tiba yake?

Kichomi kwa mama mjamzito juu ya tumbo karibu na chembe Moyo. Nini tiba yake?

Tupeane elimu kidogo juu ya vichomi kwa wajawazito.

Habari!

Ukweli ni kwamba hapa utahitaji kutoa maelezo ya ziada ili kupunguza kiwango cha udhanifu. Ukitoa neno moja kichomi, mtu ataanza kuwazia eneo husika na viungo mbalimbali mfano:

1: misuli

2: njia ya chakula

3: ngozi inayofumika mapafu

4: Moyo

5: Ngozi inayofunika moyo

6: Tatizo la diaframu
Nk.

Ingawa suala la kiungulia na gesi na masuala yanayojitokeza mara kwa mara kwa watu husika.

Hivyo, ni vyema mgonjwa kufika kwa mtoa huduma ya afya ataulizwa aina ya kichomi, sehemu huaika, chanzo, muda wake, visababishi, dalili ambata, atakaguliwa na kupewa tiba bila kuhatarisha mama na mtoto.
 
Back
Top Bottom