Kichuya kujiunga na jeshi

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
KICHUYA NA WENGINE SITA KUKOSEKANA JKT.

Klabu ya JKT Tanzania huenda ikawakosa nyota Zaidi ya Sita akiwemo Shiza Kichuya ambao wapo kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi kwa muda wa Miezi mitatu.

Kocha Mkuu wa timu hiyo Malale Hamsin amethibitisha taarifa hizo nakubainisha kuwa benchi la ufundi limeweka Mpango Mkakati ili kufanya vizuri na kutoyumba bila kuwa na nyota hao.

Ikumbukwe kuwa Katika Mchezo dhidi ya Simba sc nyota sita wa Kikosi cha Kwanza walikua Wamenyoa Vipara tayari kwa Mafunzo. Nyota hao ni Pamoja na

▪️Shiza Kichuya
▪️Martin Kigi
▪️David Bryson
▪️Wema Sadock
▪️Hassan Nassoro
▪️Maka Edward
▪️Sixtus Sabilo.

Ndani ya miezi mitatu timu hiyo JKT TANZANIA itakua na kibarua cha kuzitafuta alama tatu Kila Mchezo, dhidi ya

▪️Yanga SC
▪️KMC
▪️Kagera Sugar
▪️Mashujaa
▪️Tz Prisons
▪️Tabora United
▪️Dodoma Jiji
▪️Mtibwa Sugar.



🎶😁 NB Kichuya kama namwona vile akiwa na lile GWANDA la Majani...
 
hivi ukijiunga na hawa jamaa unaajiriwa kama mwanajeshi? nijuavyo kwa magereza inakuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…