GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
DU Genta toka hawa utopolo wapigwe na Ihefu naona umewaziba pumzi,kazi kwelikweliKimesema.....
Yanga SC Mtegoni na Simba SC ishindwe yenyewe CAFCL
Yaani Yanga out Simba kupeta Oky?
Kazi ipo na mnayo Kudadadeki zenu.
Natuna risiti, karibu tegeta nyuki hapaKimesema.....
Yanga SC Mtegoni na Simba SC ishindwe yenyewe CAFCL
Yaani Yanga out Simba kupeta Oky?
Kazi ipo na mnayo Kudadadeki zenu.
Nakubaliana na wewe. Kuongea mara nyingi kuhusu kitu kimoja kunashusha ubora wa habari yako.Kazi Unayo kaka , Si Bure.
Kama Mtu anakulipa Hakika unaitwndea Haki kazi yako.
HAIWEZEKANI Kila Baada ya Dakika Tano upo na Uzi mpya.
: UNGEWEZA kumtaja muhariri kwa Faida ya wengine.
: UNGEWEZA pia ku attach picha ya GAZETI kwa Niaba ya Matomaso.
HAKIKA JFF INA KAZI
Mwezi mchangaKazi Unayo kaka , Si Bure.
Kama Mtu anakulipa Hakika unaitwndea Haki kazi yako.
HAIWEZEKANI Kila Baada ya Dakika Tano upo na Uzi mpya.
: UNGEWEZA kumtaja muhariri kwa Faida ya wengine.
: UNGEWEZA pia ku attach picha ya GAZETI kwa Niaba ya Matomaso.
HAKIKA JFF INA KAZI
ANGALIZOKazi Unayo kaka , Si Bure.
Kama Mtu anakulipa Hakika unaitwndea Haki kazi yako.
HAIWEZEKANI Kila Baada ya Dakika Tano upo na Uzi mpya.
: UNGEWEZA kumtaja muhariri kwa Faida ya wengine.
: UNGEWEZA pia ku attach picha ya GAZETI kwa Niaba ya Matomaso.
HAKIKA JFF INA KAZI
Aliyekuzaa.Mwezi mchanga
Tayari…… hapa utapiga norinda za kutosha sanaaaaaAliyekuzaa.
mti wenye matunda ndio hupigwa maweDU Genta toka hawa utopolo wapigwe na Ihefu naona umewaziba pumzi,kazi kwelikweli
Maana yake ni Yanga wamepata kundi gumu ila Simba wamepangwa na vilaza, Simba wakishindwa kupenya itakuwa ni aibu kubwa sana kwa taifaKimesema.....
Yanga SC Mtegoni na Simba SC ishindwe yenyewe CAFCL
Yaani Yanga out Simba kupeta Oky?
Kazi ipo na mnayo Kudadadeki zenu.
Ila wewe jamaa hizi hoja mfu unazitoaga wapi? Kwaiyo gazeti la mwanaspoti ndio litaenda kucheza na wapinzani wa yanga?Kimesema.....
Yanga SC Mtegoni na Simba SC ishindwe yenyewe CAFCL
Yaani Yanga out Simba kupeta Oky?
Kazi ipo na mnayo Kudadadeki zenu.
Kwahiyo mnaomba / unaomba tubadilishane au? Hivi Kichwani mwako zikiwa zinakutosha kabisa unaweza kusema kuwa katika hatua ya 16 Bora ( Makundi ) haya kuna Kundi Mchekea na kuna Kundi Gumu?Maana yake ni Yanga wamepata kundi gumu ila Simba wamepangwa na vilaza, Simba wakishindwa kupenya itakuwa ni aibu kubwa sana kwa taifa
Nina allergy ya Kujibu Maswali ya Kipumbavu na yatokayo kwa Wapumbavu vile vile.Ila wewe jamaa hizi hoja mfu unazitoaga wapi? Kwaiyo gazeti la mwanaspoti ndio litaenda kucheza na wapinzani wa yanga?
gari umepaki wapi GENTAMYCINE maana nimekuona sasa ivi hapa gereji ili unielezee vizuri hii habariKimesema.....
Yanga SC Mtegoni na Simba SC ishindwe yenyewe CAFCL
Yaani Yanga out Simba kupeta Oky?
Kazi ipo na mnayo Kudadadeki zenu.
Baiskeli tu sina hilo Gari nilitoe wapi Mkuu?gari umepaki wapi GENTAMYCINE maana nimekuona sasa ivi hapa gereji ili unielezee vizuri hii habari
ANGALIZOMtoa mada mpuuzi forever