Kichwa cha habari (title) ya barua ya kiofisi itakayoandikwa kwa kiingereza kuomba kuhairisha masomo inaweza ikawaje?

Kichwa cha habari (title) ya barua ya kiofisi itakayoandikwa kwa kiingereza kuomba kuhairisha masomo inaweza ikawaje?

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Jamani wataalamu wa lugha, hebu tusaidiane hii kitu iliokuja kwa meli, heading nzuri kwa kuandika barua ya kiofisi kwa lugha ya kiingereza kuhusu kuhairisha masomo kutokana na ugonjwa inaweza ikawa vp?
 
Back
Top Bottom