SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,068 Reaction score 1,150 Apr 20, 2019 #1 Jamani wataalamu wa lugha, hebu tusaidiane hii kitu iliokuja kwa meli, heading nzuri kwa kuandika barua ya kiofisi kwa lugha ya kiingereza kuhusu kuhairisha masomo kutokana na ugonjwa inaweza ikawa vp?
Jamani wataalamu wa lugha, hebu tusaidiane hii kitu iliokuja kwa meli, heading nzuri kwa kuandika barua ya kiofisi kwa lugha ya kiingereza kuhusu kuhairisha masomo kutokana na ugonjwa inaweza ikawa vp?
MarkHilary JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,813 Reaction score 2,188 Apr 20, 2019 #2 Ref: Postponing my studies
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,068 Reaction score 1,150 Apr 20, 2019 Thread starter #3 MarkHilary said: Ref: Postponing my studies Click to expand... shukrani mkuu