Kichwa cha mwendawazimu kwenye ubora wake

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😀😀😀
 
Bado wana game mbili za kubahatisha
 
Wabongo acheni ujinga wa kulalamika kila Wakt,ivi hata elimu yetu ya darasa la saba haiwakwamui hata kidg maana kila Siku nyie ndio mnapga kelele.timu imeenda kushiliki kwa niaba,,hakukuwa na maadaliz yoyote na ulikuwa ni ghafula sana kwahy wameenda kupata experience kdg ili wajipange kwa baadaye kwahy waliyiwapeleka ni watu wa wazimu ambayo wajua soka kidg na ni wachez wa zaman ili waje huku Tanzania kuwafundisha vijana na hata kuanzisha ligj za soka LA ufukwen,,,SAS wa bongo kwa akil zao ni kipga kelele na kusema Mara ccm,ccm wanaingiliwa WAP hapo kwenye soka....acheni upumbafu tubadilike sana,kuna timu kubwa zinafungwa lkn hawapgi kelele km nyie,Brazil walitolewa kombe LA dunia lkn hawakupga kelele ila wanachukulia ni kawada na kuchukuwa madhaifu yako kuwa km funzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…