Kichwa cha mwendawazimu kwenye ubora wake

Kwa nini kila siku kwenye kila aina ya mashindano hukosa maandalizi ya maana?

Hivi hasara ya kuacha kushiriki kwa sababu hatujajiandaa ni kubwa kuliko kushiriki bila kujiandaa?

Kichwa cha mwendawazimu mzoefu
 
Unapotaka kuanzisha kitu chochote lazima kwanza uingie hasara kwanza baadaye ndio kuna faida,walioenda kushiliki wameenda km kujifunza nielewe
 
Unapotaka kuanzisha kitu chochote lazima kwanza uingie hasara kwanza baadaye ndio kuna faida,walioenda kushiliki wameenda km kujifunza nielewe
Kwa nini hawakujifunza kabla ya kwenda kushindana?

Tunalalamika kwa sababu kila kukicha ni kushindwa tu.

Hao wanaotupiga kila kukicha wana nini kutuzidi sisi?

Siku tutakapoamua kuangalia tulipojikwaa na kuanguka, tutasimama na kujikung'uta mavumbi na kufanya vema kwenye michezo.

Hizi sababu za kila siku hazitalindoa taifa letu hapa lilipo kimichezo
 
IPO Siku moja we still progressive.
 
No ya jangwa lakini ina beach Kama sisi labda ungesema tumefungwa na nchi iliyoghubikwa na unrest ikiwemo tishio la ISIS
 
Eti kocha Pawasa jamani lini pawasa kafundisha soka halafu kwa maandalizi yale
Kila kitu pale Karume ni cha kisimba samba aka kimikia Zaidi, kila fursa lazima apewe Mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…