Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kazi kiongozi, tulihurumie tu taifa hili.......si ajabu ana wajukuu kabisa huyu, tena unaweza kukuta mjukuu mmoja ana ujauzito kabisa!Watu!
Wewe ndio unaungana na mwenye post kutufungulia Dunia,?Hakuna kazi kiongozi, tulihurumie tu taifa hili.......si ajabu ana wajukuu kabisa huyu, tena unaweza kukuta mjukuu mmoja ana ujauzito kabisa!
Nimcheka Sana duh!!!!View attachment 2127942Kueni watulivu jamani pengine ni uchovu wa safari kikipumzika kitakua kama hivi
Ndio tunasubiri tuone mkuuKile ni cha kampuni kimeletwa kutesti reli, subirini vyenu vije.
Hapana, hata sifungui dunia mimi hapa na hata sijui inafunguliwaje!!Wewe ndio unaungana na mwenye post kutufungulia Dunia,?
[emoji848][emoji15][emoji3064][emoji2]View attachment 2127942Kueni watulivu jamani pengine ni uchovu wa safari kikipumzika kitakua kama hivi
All in all bado tutaletewa old fashion trust me! Hatuwezi kamwe kuletewa vyuma vya kisasa vinavyotrend huko kwaoWakati mwingine nikifuatilia maoni ya wabongo wenzangu, huwa sishangai kwa nini hadi leo tumekuwa watumwa wa CCM...
Kuna tatizo kubwa sana kiongozi, KUBWA SAAANA! Mi mwenyewe nilikuwa sijui km ni kubwa kiasi hiki hadi baada ya kufuatilia kwa karibu michango ya mada hii ya kichwa hicho cha treni.Wakati mwingine nikifuatilia maoni ya wabongo wenzangu, huwa sishangai kwa nini hadi leo tumekuwa watumwa wa CCM...
Watu hawana muda na kutafakari kabisaaaaaa...
Hivi unawezaje kutest kwa kitu kisicho halisi, ..yaani kinatestiwa hicho cha jana halafu vitakavyokuja kufanya kazi ni vingine huoni kama hakuna uhalisia hapo?Kile ni cha kampuni kimeletwa kutesti reli, subirini vyenu vije.
Mimi kwa akili zangu watoto ni wale waliodanganya kusema ni cha mkandarasi maana walijua wataulizwa yaani unatengeneza reli ya kisasa harafu unaleta chakavu ndio ifanye majaribio yepi kama sio uongo...kwa nini wasilete vyenyewe hata kwa kusubiriNI UJINGA AU NINI?
Kile ni kichwa cha mkandarasi is mali ya serikali hamsomi au kusikia?.
Mnaanzisha mada kitoto sana.