Kichwa changu hakipo sawa

Sometimz tunakuwa katika mawazo hata huelewi unawza nini.

Reason nyingi wamesema wataalamu hapo juu, lakini nyingine ni ya kiroho tu.
 
sorry na mimi nahitaji msaada wa kimawazo zaidi,
naomba msaada wa kimawazo na mimi,sio sawa i need help.
 
counselling zaidi maana ni tatizo la kisaikolojia, naona wengi wameonesha moyo wa kukusaidia, nahisi wanatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…