T Tt4tat boy Member Joined Nov 26, 2015 Posts 45 Reaction score 11 Dec 25, 2015 #1 Kichwa cha habari kina kinajieleza , nini tatizo jamani.
Zainab Tamim JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 1,293 Reaction score 583 Aug 5, 2016 #2 Jaribu tiba yetu, soma hapa: Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay
Jaribu tiba yetu, soma hapa: Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Aug 5, 2016 #3 Tt4tat boy said: Kichwa cha habari kina kinajieleza , nini tatizo jamani. Click to expand... Kuna uzi juu hapo..unaelezea madhara ya nyeto..tafadhali acha nyeto kwa ustawi wa nywele zako
Tt4tat boy said: Kichwa cha habari kina kinajieleza , nini tatizo jamani. Click to expand... Kuna uzi juu hapo..unaelezea madhara ya nyeto..tafadhali acha nyeto kwa ustawi wa nywele zako
Doyi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 1,578 Reaction score 1,894 Aug 7, 2016 #4 mimi hukutwa na hali hyo nikinywa maziwa ya unga,au nikinywa energy drinks au nikila kumbikumbi.je wewe unakuwa na hali hyo ukila kitu gan?? jichunguze alafu leta mrejesho Tt4tat boy
mimi hukutwa na hali hyo nikinywa maziwa ya unga,au nikinywa energy drinks au nikila kumbikumbi.je wewe unakuwa na hali hyo ukila kitu gan?? jichunguze alafu leta mrejesho Tt4tat boy
happymwashi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 980 Reaction score 846 Aug 7, 2016 #5 Tt4tat boy said: Kichwa cha habari kina kinajieleza , nini tatizo jamani. Click to expand... Ngoma iyo
Tt4tat boy said: Kichwa cha habari kina kinajieleza , nini tatizo jamani. Click to expand... Ngoma iyo
Abou Saydou JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,947 Reaction score 2,108 Aug 7, 2016 #6 happymwashi said: Ngoma iyo Click to expand... Ngoma? Ya kizaramo au kimakonde