F Ford89 Senior Member Joined Jul 31, 2011 Posts 128 Reaction score 15 Jan 25, 2017 #1 Ndugu yangu wa kiume yupo kidato cha nne karibia muda wote kichwa kinamuuma, anasahau mambo mara kwa mara pia uelewa umeshuka, alienda Temeke hospitali kufanya vipimo akaambiwa hana tatizo. Naombeni mawazo yenu
Ndugu yangu wa kiume yupo kidato cha nne karibia muda wote kichwa kinamuuma, anasahau mambo mara kwa mara pia uelewa umeshuka, alienda Temeke hospitali kufanya vipimo akaambiwa hana tatizo. Naombeni mawazo yenu
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,067 Reaction score 10,938 Jan 25, 2017 #2 Mpeleke clinic ya macho pale shoppers plaza, msasani. Nenda pale unaweza kupata msaada. Ukishindwa hapo we zama kwenye mitishamba.
Mpeleke clinic ya macho pale shoppers plaza, msasani. Nenda pale unaweza kupata msaada. Ukishindwa hapo we zama kwenye mitishamba.