Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Niombeeni.sasa huku JF unatafuta nini wakati unatakiwa kwenda hospitali? Ukiona unataka kudanja PM namba yako nikutumie Taxi za UBA wakuwaishe Mwananyamala hospitali
Nenda hospitali kwanza halafu ukifika tujulishe tushushe maombiNiombeeni.
hahah kwani ni lazima uandike "sledi"? Badala ya kukimbia hospital utibiwe upo humu unataka maombi...hata nguvu ya kuandika sledi nakosa
Sababu ya kuumwa?Leo kichwa kinaniuma sana
Naombeni mniombee nipone haraka .