KICHWA KINAUMA JAMANI.....naomba msaada!!!! si utani hata kidogo.


Na binti si mzoefu sana. Angekuwa mzoefu nasikia huwa inawekwa ndimu for sometime, kisha inapigwa na kitambaa chenye barafu, kisha na zoezi la misuli la PC, jamaa hata kama katumia Super Shaft aka Viagra, itagota tu mpaka bibie alegeze misuri. Ni kuwa kitu inajaa kwa ndani na kuacha mlango kiduchu.
 
kichwa kinauma kwa kudanganywa au kwakuwa yeye sio bikira., anyway siku hizi watu sound nyingi leo sio mwanzo wala mwisho wa kudanganywa.., kuhusu ubikira ni wengi utawakuta sio, kwahio kama unampenda wewe endelea mengine hayo ukichunguza sana utakufa peke yako.
 
Kazi kweli! Sex siku hizi sijui ufanyeje ili iwe na heshima!
I don't regret being my age, I don't envy those in the dating game!
 
mkuu, ulimpenda huyo binti au uliipenda bikira ukataka kufanya adventure? Binti kaja kwako kajua anakuja bikiriwa unataka ahangaike akung'ate ndo ujue ni bikira? Au ulitaka damu iruke kama anachinjwz ndo ujue bikira? Inasikitisha sana kuona binti kakupa usichana wake na unamchunia, hilo litakuwa funzo kwake kwa siku za usoni.........
 
Tusilaumiane tukiwa hatuaminiani.

Mtu anauza cheni bandia, huyu naye anauza cheni bandia.

Ukizubaa unaliwa, mie kuna binti nafanya naye kazi alienda hspitali kushona kabisa ili irudi baada ya kupata mtu mpya.

Haya mambo yapo, za china, za burundi na za ukweli zote zipo.
 
Umeliwa! Kategesha kwenye siku zake za period ndo kakuletea mashine, kwasababu wanajua kuwa wanaume tukiona damu tunajua tumebikiri, kumbe kasahau wengine ni mabingwa wa sanaa za sampuli hiyo!

Kuna mshkaji wangu alishaimbishwa na nyimbo hiyo ya bikira akapewa ahadi kuwa dem akimaliza form six ndio atakuwa tayari kwa kubikiriwa. Sasaivi dem yuko mwaka wa pili chuo na jamaa gem hajapewa mpaka leo, kwa visingizio kibao, kumbe dem anaogopa jamaa akijua kuwa yeye sio bikra itakuwaje.

Hivi vitoto vya sikuizi balaa sana!
 

Wow! yaani siwaelewagi some men when it comes to virginity usipokuwa nayo tabu maana atahisi ulikuwa unagawa sana, uwe nayo utaambiwa feki/ hawaiamini...
 
Wewe ulifata bikra au uroda, kwanini usijiulize awakatae wote hao akupe wewe ni sio mume wala mchumba. Huyo hakuwa bikra hata kama amebleed ile kitu inafuatana na tightness fulani. In normal circumstances is not an easy game for the first time coz your tool won't get in easily!
 
kweli hii ni kali shughuli ya kumtoa mtu bikra c mchezo ndugu n kasheshe unaweza kupgwa meno kuna wakati shuka,foronya na ng'uo uczione yalinkuta hayo
 
pole ndo uanaume shukulu mungu kuwa umejua mapema maana hao kipindi hiki ni wengi hasa kama hawa wanafunzi inabidi kuwa makini nao,
 
Ha ha ha haaaa! Pole sana kijana mpaka ukue utayaona mengi! Huna zoefu! Rudi ukaperizi tena kijana!
 
mwambie unajua kakudanganya haujapenda na akueleze kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…