Kichwa kupiga kelele kama filimbi au kengele

Kichwa kupiga kelele kama filimbi au kengele

Kutakuwa na mechi inaendelea subiri baada ya dakika 90 mpira utamalizika
 
Nitumie kitu gani kuondoa hyo kitu wana jf

Tatizo hilo limesababishwa na nn?ulishawahi kuvuta bangi??Wengi waliojaribu bangi hii kitu huwatokea,So usijali take much time ya kulelax hizo kelele huwa zinaisha tu
 
Kati ya blood presha au stress, najibu kutokana na uzoefu tu but mi si tabibu. Matabibu watakuja kutoa uzoefu zaidi but mi nimeishi na mtu alikuwa na majanga hayo na mwisho wa siku ilikuwa presha.

Nikaja nikakutana na binti mmoja alikuwa na hili tatizo watafiti wakagundua ana stress. Hayo mawili nimeyaona ngoja tuone kama kuna mengi kutoka kwa waliobobea kwenye haya mambo
 
Back
Top Bottom