Kati ya blood presha au stress, najibu kutokana na uzoefu tu but mi si tabibu. Matabibu watakuja kutoa uzoefu zaidi but mi nimeishi na mtu alikuwa na majanga hayo na mwisho wa siku ilikuwa presha.
Nikaja nikakutana na binti mmoja alikuwa na hili tatizo watafiti wakagundua ana stress. Hayo mawili nimeyaona ngoja tuone kama kuna mengi kutoka kwa waliobobea kwenye haya mambo