Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

Hizo zinaitwa show off kwa wapiganaji majigambo ndio mbinu moja wapo ya ushindi kwa kumnyang'anya confidence mpinzan
 
Kipigo alichopata toka kwa Mfilipino kinamchanganya....hakutarajia......... kubebwa ndio kumemuumiza zaidi.....Siasa na Ngumi ni vitu viwili tofauti....

Ukweli atateseka sana....na kitachofuata ni kuchezea vichapo...
 
Kijana kaomba radhi aisee...


GENTAMYCINE
 
Matumla

Kwa miaka 20 aliyocheza ndondi ameweka heshima kubwa sana kwenye mchezo huo.

Mpaka anastaafu alikua amecheza mapambano 16 yanayotambuliwa na chama cha ngumi barani Afrika (ABU), akishinda 15 (12 kwa KO/TKO, 3 kwa points) na kupoteza 1.

Hadi anastaafu alikua amecheza mapambano 24 yanayotambuliwa na Shirikisho la ngumi duniani (WBU) akishinda 21 (19 kwa KO/TK0, 2 kwa points) na kupoteza 3.

Hadi anastaafu alikua amecheza mapambano 18 yanayotambuliwa na shirikisho ngumi kimataifa (IBU), akishinda 16 (12 kwa KO/TKO, 4 kwa points) na kupoteza 2. Pambano la mwisho la IBF alimchakaza Achilles Ssemogerere wa Uganda raundi ya 4 kwa KO mwaka 2008.

Kwa hisani ya Malisa GL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…