Kidada Jones Vs Tupac Amaru Shakuru

Kidada Jones Vs Tupac Amaru Shakuru

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
1,328
Reaction score
3,718
Kidada Jones na Tupac walikua na mahusiano ya kimapenzi yaliyodumu kwa muda mfupi tu mwaka 1996. Walikutana mwaka 1995, kwenye Club moja huko mjini Los Angeles na wakaanzisha uhusiano wa kimapenzi muda muda mfupi baadae.

Kidada alikuwa mbunifu wa mavazi na muigizaji pia Tupac alikuwa rapper na muigizaji nguli. Wote walikua wanaendana kwa vitu wanavyopenda pia hata malengo yao yalikuwa yanashabihiana kulingana na hizo kazi zao.

Mahusiano yao haya kukosa vikwazo na mitikisiko baada ya Tupac kuwa na historia ya kuwa mtata katika macho ya jamii. Baba yake Kidada alikuwa mwanamuziki nguli mstaafu Quincy Jones alikuwa na wasiwasi na mahusiano hayo kwa sababu ya tabia na sifa za Tupac(thug life).
Inasikitisha mahusiano hayo yalifika mwisho baada ya Tupac
kushambuliwa ghafa na kupigwa lisasi huko mjini Las Vegas mnamo mwezi wa tisa mwaka 1996. Kidada alivulugwa na kifo cha mpenzi wake Huyo kwa kuwa alikuwa na matokeo chanya katika maisha yake na yatasnia yake.
_20230425_064749.JPG
 

Attachments

  • _20230425_064806.JPG
    _20230425_064806.JPG
    112.6 KB · Views: 22
Tupac angepunguza uhuni kidogo na kutokuwasema wazungu angekuwepo. Wenzie akina Rza,Method man, Common, Dre, snoopy etc wanazeeka sasa.
FB_IMG_16624482390250773.jpg

 
Tupac angepunguza uhuni kidogo na kutokuwasema wazungu angekuwepo. Wenzie akina Rza,Method man, Common, Dre, snoopy etc wanazeeka sasa.
View attachment 2599838
Tupac na yaki Gaddafi walikua marafiki wa kweli
_20230426_011600.JPG
 
Back
Top Bottom