Kidaktari imekaaje hii?

Kidaktari imekaaje hii?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,667
1396759999972.jpg
 
Mkuu utafiti, hapo sina maelezo sahihi ya moja kwa moja ila kuna watu huwa wanakataa kifo, mfano mzuri ni mwenzetu Pasco.

Ya kwangu haikua serious kama hii, ila kuna siku nilienda Regency nikapigwa drip na kulazwa kwa muda, baadae wakachukua vipimo damu na mengineyo kisha wakaniambia nna kisukari, madaktari wakaitana kisha wakasema wiki inayofuata niende kwa ajili ya kuanza matibabu ya kisukari, nilipoondoka hapo tu, nikasema sina kisukari na sirudi kuanza tiba. Hadi leo sina hilo tatizo.

Madaktari wanafanya kazi nzuri kwa taaluma yao, lakini kuna baadhi ya vitu ni zaidi ya udaktari, mfano wa kesi ya huyu mzee!
 
Last edited by a moderator:

Haya mambo yapo mkuu, ni kujikubali au kukubaliana na hali...unajitibu kwa hisia
 
Na ningerudi huenda hadi leo ningekua naendelea na dozi ya kisukari.

Nashukuru OLESAIDIMU amenikumbusha habari ya Sangarara, kwa kweli ilikua ni miongoni mwa habari zilizonifanya nijione kwamba sie binadamu kumbe ni very vulnerable kiasi hata cha kukosa kuchangia ule uzi. Ila nilifarijika sana baadae akaja na habari njema za matumaini mapya kwamba alipona.
 
Aliyeiumba hii dunia huwa anatupa mapya kila tunapodhani tumemaliza ndugu yangu Samaritan!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti, hapo sina maelezo sahihi ya moja kwa moja ila kuna watu huwa wanakataa kifo, mfano mzuri ni mwenzetu Pasco.

Ya kwangu haikua serious kama hii, ila kuna siku nilienda Regency nikapigwa drip na kulazwa kwa muda, baadae wakachukua vipimo damu na mengineyo kisha wakaniambia nna kisukari, madaktari wakaitana kisha wakasema wiki inayofuata niende kwa ajili ya kuanza matibabu ya kisukari, nilipoondoka hapo tu, nikasema sina kisukari na sirudi kuanza tiba. Hadi leo sina hilo tatizo.

Madaktari wanafanya kazi nzuri kwa taaluma yao, lakini kuna baadhi ya vitu ni zaidi ya udaktari, mfano wa kesi ya huyu mzee!

Bila shaka nawe ni mdau unaeweza kutumia nguvu zako za asili (za kiungu/psychic powers)
Embu niambie, umewezaje kuzitumia hizo nguvu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom