Kidato cha 4 mambo safi, matokeo mapya hadharani..................... ................

Status
Not open for further replies.

ibrahimaly

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
19
Reaction score
0
WAKUU kuna tetesi matokeo ya kidato cha nn4 kutangazwa leo mchana,

pia inasemekana yatakua na kiwango cha ufaulu kikubwa kulinganisha na mwaka uliopita,

tukae mkao wa kula ubwabwa leo hiiiiiiiiii..
 
WAKUU kuna tetesi matokeo ya kidato cha nn4 kutangazwa leo mchana,

pia inasemekana yatakua na kiwango cha ufaulu kikubwa kulinganisha na mwaka uliopita,

tukae mkao wa kula ubwabwa leo hiiiiiiiiii.

Labda ni uelewa wangu mdogo; ila siamini kama UFAULU umeongezeka. KIlichofanywa ni kupandisha marks za WALIOFELI KWELI na kuwafikisha PAKUFAULU!!!!! Swali ni JE, WAMEFAULU KWELI AU WAMEFAULISHWA???
 
Kwani wanafunzi wote wakipata Div four point 34 si ufaulu utakuwa 100%
 
Hao wamefaulishwa, tena kwa lazima

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…