si wote kuwa hawajui kusoma, na kama wasingejua kusoma wasingefaulu maana wasingeweza kusoma hata kujibu hayo maswali ya mitihani.
kwa hiyo walio faulu kwa ujumla wanajua walau kusoma kama hawakuchakachua huo mtihani.
Changamoto iliyopo kwao ni kama watapata walimu wazuri na wakutosha mashuleni kwao huko.