Zimebaki takribani km cku 15 vijana kidato cha sita nchini kote waanze mitihani yao ya mwisho, ni wao pekee watakaohukumu future yao ktk maisha ya kitaluma.Ungana nao kwa maombi mbele za Mungu wa mbinguni,ili wakahukumu vyema kwa kuandika vizuri mitihani yao.