kidato cha sita bila cha tano majangaa

george de hero

Senior Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
122
Reaction score
14
Hivi jaman inawezekana kweli kwa sisi form six..kurud ckul tena bila wadogo zetu wa kidato cha tano....nani atafanya usafi wa shule coz form six hana muda wa kupoteza tena akirudi ckul....!
 
Unamatatizo wewe nani akufanyie usafi wewe.anyway tusubiri twaja tukuoneshe kuwa kupata ziro ndani ya sekunde ni rahisi sana
 
Kizazi cha wavaa kata "k" kina matatizo.
 
nadhani wakati umefika sasa moderators waanzishe jukwaa la watoto..........

Kwel kabisa naunga mkono hoja yako mkuu thread nyingine niza ovyo kweli kama vipi warudi fb tu
 
Mitandao ya kijamii ifungwe tu maana inazidi kuharibu kabisa nidhamu kwa wadogo na wakubwa.
 
nadhani wakati umefika sasa moderators waanzishe jukwaa la watoto..........

Nakuunga mkono mkuu mods watengeneze jukwaa la watoto, kwa ajili ya kuiokoa JF.
 
Jamani watoto tuzae na tuwakuze wenyewe wakivaa namna ambayo tunaona ni mbaya hatutaki hata wazungumze. Waacheni wazungumze ili baadaye tujue mahala pa kuanzia kusahihisha. Kama ni kuboresha shule basi tufanye hivyo sasa kama sisi wakubwa tunatumia pesa kwa namna tunavyojua wenyewe bila kuwahakikishia elimu nzuri, afya safi na usafiri mzuri kwenda mashuleni.
 
na utakoma maana nasikia mwaka huu mnaletewa form 5 BOYS pekeyao hakuna mademu
 
nimepata newz kutoka kwa mkuu wangu wa shule kasema kaselect madem 30 na boyz 50
 
Hivi jaman inawezekana kweli kwa sisi form six..kurud ckul tena bila wadogo zetu wa kidato cha tano....nani atafanya usafi wa shule coz form six hana muda wa kupoteza tena akirudi ckul....!

mwehu kweli subr zero yko..
 
Yani wamemsumbua akili kawambwa had amerisit matokeo sembuse nyie form six.form five wa mwaka huu ni vichwa vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…