Mbona hizi taarifa zako hazionekani kuwa na ukweli wowote ulee??? inakuwaje watenge shule nyingi sana za privates?? source ya taarifa plz!!Hizi ni shule ambazo kidato cha sita watachaguliwa kwenda JKT mwaka huu kuanzia machi
Kibondo, Musoma, Kibaha, Ilboru, Bagamoyo, Jitegemee, Tabora Wavulana na Nganza. Shule nyingine ni Mtwara Wasichana, Ihungo, Kilakala, Benjamin Mkapa, Maswa Wasichana, Dodoma, Tumain-Singida na Galanos.Nyingine ni Ashira, Nangwa-Manyara, Iyunga, Mpanda, Lindi, Iringa Wasichana, Kawawa-Iringa na Ruhuwiko-Songea.
Mbona shule nyingi ni za serikali.Source kasome gazeti la mwananchi la leo ( 7/1/2013)Mbona hizi taarifa zako hazionekani kuwa na ukweli wowote ulee??? inakuwaje watenge shule nyingi sana za privates?? source ya taarifa plz!!