Kidato cha sita kuripoti vyuoni mwezi wa kwanza 2015

george de hero

Senior Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
122
Reaction score
14
Jamani wanajamvi naomba mnisaidie eti ni kweli kidato cha sita wa mwaka huu wataanza kuripoti vyuoni january mwakani...
 
oya na je application vip bado hazijaanza TCU, kama zitaaza tuambiane
 
jf porojo zimeidi. (taarifa yoyote bila chanzo ni pirojo za kijiweni.)
 
Hizo ni tetesi tu hata sisi mwaka jana tuliambiwa. Chuo mwezi wa kumi kama kawaida.
 
oya na je application vip bado hazijaanza TCU, kama zitaaza tuambiane

Application zishaanza, tembelea hii website: www.tcu.go.tz sehemu ya news and events soma maelekezo pia na guid book ya kozi ipo
 
Jamani wanajamvi naomba mnisaidie eti ni kweli kidato cha sita wa mwaka huu wataanza kuripoti vyuoni january mwakani...

CHUO IN MWEZ WA 11.piga garagaza..application za mikopo wanatakiw fanya kabla ya jkt au wakiwa huko.na tcu wakiwa kambini.
 
Kuna tangazo la jkt linatangazwa clouds fm...lisikilizen mjue....linasema kwamba wale form 6 wa awamu ya pili ambao watachaguliwa vyuo vikuu,wataandika barua kwa mkuu wa jkt ya kutokwenda mpk watakapomaliza masomo yao....CHUO OCTOBER
 
asante kwa taarifa.naomba msaada wa sanduku la barua la mkuu wa jkt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…