Kidogo ya diamond ya kuwania tuzo za AELA awards nchini Nigeria

Kidogo ya diamond ya kuwania tuzo za AELA awards nchini Nigeria

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Nyimbo ya diamond platnumz kidogo imechaguliwa kuwania tuzo za africa entertainment legend awards (AELA ) Awards nnchi Nigeria katika kipengele cha best collabo
Nyimbo hiyo aliwashirikisha psquare
Atachana na wakali wengine tiwa savage na yemi alade
Best collabo
Tiwa savage ft wizkid - bad
Diamond platnumz ft psquare - kidogo
Yemi alade ft sauti sol- africa
Msisahau kumpigia kula kijana wenu
1474546630545.jpg

1474546682504.jpg
 
Mi hili swali sijapata jibu,hivi tuzo za KTMA lini .........ili na kile kijamaa cha k/koo angalau na chenyewe kipewe tuzo za msaada kwenye tuta.
 
Ktm zimesitishwa kuboresha ubora wake mara ya mwisho zilitolewa kihuni
 
Ktm zimesitishwa kuboresha ubora wake mara ya mwisho zilitolewa kihuni
wamesitisha au pesa zilikuwa za kupiga dili...?

Hii ndio Bongoland

wapiga dili wengi

waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
wamesitisha au pesa zilikuwa za kupiga dili...?

Hii ndio Bongoland

wapiga dili wengi

waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Tuzo zinadhaminiwa na kilimanjaro lager pesa inatoka kwenye campany sidhani kama wameshindwa kuangaa tena
Basata wamesema mwaka huu hazita kuwepo ili kuziboresha kutokana na malalamiko ya wadau tuzo kutolewa hovyo
 
Kwa kipind chote walishindwa kujilekebisha...??

ok Buana iv Hakuna tuzo za serikal kwa wanamuziki wake...??

ok poa Waiter leta nyingine[emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Back
Top Bottom