wamesitisha au pesa zilikuwa za kupiga dili...?Ktm zimesitishwa kuboresha ubora wake mara ya mwisho zilitolewa kihuni
Tuzo zinadhaminiwa na kilimanjaro lager pesa inatoka kwenye campany sidhani kama wameshindwa kuangaa tenawamesitisha au pesa zilikuwa za kupiga dili...?
Hii ndio Bongoland
wapiga dili wengi
waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Kwa kipind chote walishindwa kujilekebisha...??Tuzo zinadhaminiwa na kilimanjaro lager pesa inatoka kwenye campany sidhani kama wameshindwa kuangaa tena
Basata wamesema mwaka huu hazita kuwepo ili kuziboresha kutokana na malalamiko ya wadau tuzo kutolewa hovyo