Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
ndula ndio nini?Mdudu,weka ndula kiive,halafu ukitoboe
hio acid haina madhara kwa ngozi???Weka kwenye diluted acid(diluted sulphuric acid)
Nasikia inasaidia kuivisha haraka ila mi nilivoumwa sikuitumia maana maeneo niliyokuwepo hazikuwepoMdudu,weka ndula kiive,halafu ukitoboe
Ni dilute,nenda kwa wanaocharge battery za magari,watakusaidia,imeshanipata ikanisaidia.hio acid haina madhara kwa ngozi???
Ni kama nyanya chungu, we google utaiona.ndula ndio nini?
Aisee!! Kwa hii treatment wewe ni zaidi ya doctor, kwa hiyo wewe ulivyoweka kidole kwenye K huyo mdudu alitoka mwenyewe?Sema umechelewa ila kama wewe ni ke ingiza kidole kwenye papuchi yako kama dk 2 kitoe ingiza tena kama mara 3 ivi, ufanye ivo mara 3 kwa siku kitapona tu, kama wewe ni me ingiza kwa wife au gf wako, nilishawahi pona mie kwa njia hiyo