Ndo forum maana yake...you don't know ..or not interested leave itKila MTU anatoa lake
Mkuu bujibuji hii ni wrong post au ulikusudia?
Huwezi mwona mdudu, atafia kidoleni, utakachoona ni kidole kukauka na kupona kabisaSasa si unatakiwa unipe kwanza mechanism hata kwa ufupi tu au? Kwamba lile joto la kuleeee linaweza kumtoa mdudu kidoleni...!! Noma sana hili ni ajabu namba la papuchi.
SawaHuwezi mwona mdudu, atafia kidoleni, utakachoona ni kidole kukauka na kupona kabisa
Ni ugonjwa hatari sana huoYaani kweli mimi nina rafiki yangu mpaka sasa kidole hakinyooki kwa sababu ya ugonjwa huo
nichanje kidole tenaIyo kitu inauma sana.
Tena ukijitonesha usiku ukiwa umelala utajuta.
Inatibiwa kienyeji ndugu.
Iyo uliyoweka ulipaswa kwanza uchanje hapo kwenye mdomo karibu na kucha pa brown.
pia unaweza chanja kidole ukapaka kitunguu saumu na kuvisha icyo ndulele.
upo serious mkuuHabar, wekavChale kwenye hicho kidole, then nenda kwenye tundu la choo weka kidole kivute hewa ya chooni kwa Muda wa dakika5+ then utanipa feedback. Kumbuka asante
Open wound exposed to the area with highest number of microorganisms... Hatari...akili za mbayuwayu ongeza na za Kwakoupo serious mkuu
upo serious mkuu
Another traumatic injury. Sayansi ya darasa la tatu...ili kitu kitanuke kinahitaji joto..tayari kidole kimevimba then unaongeza temperature....si sahihiMaji yachemke haswa then tia chumvi.weka kidole humo mpaka uhisi kama unaungua,toa kidole pindi ukihisi unaungua then kirudishe tena humo.waweza kuweka maji hayo kwenye kikombe au kibakuli.kumbuka kuweka chumvi nyingi
Ndio mkuu. sa dawa itaingiaje? Chanja hapo panapoonekana pamevimba kucha inapoanzia.nichanje kidole tena
Alichelewa. haikupaswa kucha kutoka wala kuharibu mwonekano wa kidole.asee pole sana, nina uncle wangu ambaye alipata tatizo kama lako yeye ilikuwa dole gumba, alitibiwa kienyeji na akapona,ila hadi kucha ilitoka yote, na sidhani kama gharama ilizidi hata elfu tano, ila kilimtesa sana mwanzoni kabla hajatibiwa
Sasa Mkuu hiyo nyimbo na huyu ana maradhi ya kidole imehusiana na nini? Unazeeka vibaya mkuu@Bujibuji