chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Jaman ni wk sasa toka nijkate kdole na bati, baada ya kwenda hospital nilishonwa nyuzi na kuwekewa dawa.tatizo lina kuja baada ya kidonda kufunga kidole kimekufa ganzi.wakubwa hii inatokana na nin? na nin matababu yke? natangulza shukrani