chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,522 Reaction score 2,651 Jul 2, 2015 #1 Jaman ni wk sasa toka nijkate kdole na bati, baada ya kwenda hospital nilishonwa nyuzi na kuwekewa dawa.tatizo lina kuja baada ya kidonda kufunga kidole kimekufa ganzi.wakubwa hii inatokana na nin? na nin matababu yke? natangulza shukrani
Jaman ni wk sasa toka nijkate kdole na bati, baada ya kwenda hospital nilishonwa nyuzi na kuwekewa dawa.tatizo lina kuja baada ya kidonda kufunga kidole kimekufa ganzi.wakubwa hii inatokana na nin? na nin matababu yke? natangulza shukrani
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jul 3, 2015 #2 bado hakijapona hicho subiri wiki tena ipite.
Temu Son JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 251 Reaction score 61 Jul 3, 2015 #3 Mh something is not okey!!!! Pengine ulishonwa vibaya sikilizia then ukiona hali bado urudi kwa dokta au ujaribu dawa ya kuchua
Mh something is not okey!!!! Pengine ulishonwa vibaya sikilizia then ukiona hali bado urudi kwa dokta au ujaribu dawa ya kuchua