nina kidole cha mkono wa kushoto kimevimba na kinauma sana...nakumbuka sijakigonga sehem yeyote..inawezakua ni nini?au ni bacterial infection?naomba mchango wenu madokta nitumie dawa gani
Nenda hospuitali haraka , kuna uwezekano ulinynyanyua kitu kizito mishipa ya mgongo ikawa imeumia hivyo hutasikia mgongoni bali sehemu ya kidole. nenda wakucheki spinal cord