Ngumu kukusaidia kwa short story uliyotoa ... but the 1st thing popped in my mind ni arthritis sababu inatokea sana kwa wazee age > 50 na hayo maji (pus) ni product ya inflammation ... nitakupa symtomps za arthritis kama anazo then nenda kwa dactari aende akaangaliwe zaidi kuhusu huu ugonjwa ..
What is Arthritis -
Ni ugonjwa unaotokana na Inflammation katika joints (moja/zaidi) .
Nini inasababisha huu ugonjwa -
An autoimmune disease
Broken bone
General "wear and tear" on joints
Infection, usually by bacteria or virus
dalili zake -
Joint pain
Joint swelling
Reduced ability to move the joint
Redness of the skin around a joint
Stiffness, especially in the morning ( mgonjwa anakuwa hawezi kukunja ngumi / ama anakunja lakini ina kuwa weak )
Warmth around a joint (kuna kuwa na joto ile sehemu ya joint )
kama mama ana dalili kama hizo hapo juu mpeleke hospitali suggest kwa dactari huu gonjwa akikubaliana na wewe mpatie mama tiba .
mpe pole bimkbuwa