Kidonda kwenye kichwa cha uume inasababishwa na nini?

Inno laka

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,616
Reaction score
585
Nataka kufahamu kama mtua atapata kidonda katika kichwa chake cha uume n nini kinasababisha .
 
Enzi kabla ya ukimwi ilikuwa gono! kwa sasa sijui maana haya magonjwa yamepungua sana (caution: mimi sio daktari), but you can still contract Gonorrhea
 
Eleza kama unaumwa wewe tukueleze cha kufanya siyo KAMA MTU ANAUMWA! Sema WEWE unaumwa! Unaficha nini?
 
:juggle: ACHENI KUULIZA MASWALI YA KIHUNI KWENYE BLOGS, LENGO LA HIZI BLOGS SII KAMA MNAVYOZITUMIA OKEY?:A S 465:
 
sasa mtu anaumwa na hapa jamiiforum kuna madocta ,maprofesa.we ndo hujui matumizi ya jf.uliza chochote ujibiw
 
Dawa za maleria zenye sulphur. I guarantee you this. Fuatilia kama ulikunywa hivi karibuni, utaniambia.
 
Enzi kabla ya ukimwi ilikuwa gono! kwa sasa sijui maana haya magonjwa yamepungua sana (caution: mimi sio daktari), but you can still contract Gonorrhea
Gono haisababishi kidonda kwenye kichwa cha uume. Uwezekano mkubwa ni syphlis (wengine huita kaswende au pangusa). Nenda kwa dr. ukapime ili uwe na uhakika wa tatizo na tiba sahihi. Ni ugonjwa hatari sana kwani ukichelewa hicho kidonda kitapotea chenyewe lakini ugonjwa utazidi kukua ndani kwa ndani. Hatua za baadae ni mbaya zaidi hata kufikia kuathiri uzazi au kuzaa watoto wenye matatizo.
Kapime haraka please wewe na huyo mpenzi wako.
 
Ok kweli most likely ni kaswende! umempa ushauri makini. kazi kwake.
 
Back
Top Bottom