Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Chukuwa Asali safi jipake kwenye ulimi asubuhi na jioni kwa siku 3. Nenda ukapime una upungufu wa Vitamin mwilini.Habari za jioni
Naomba kwa anayefahamu aniambie ni dawa gani naweza kutumia ili niweze kupona kidonda kilichopo kwenye ulimi. Sio mara ya kwanza kunipata na huwa natumia maji ya chumvi kusukutua kisha kinapona ila baada ya miaka 2 au 3 kinarudi tena. Nisaidieni jamani mana hata chakula sioni ladha yake na pia nimesitisha kisses kwa wife wiki sasa.