Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa Nchi naombeni msaada kwa mtu anayejua Dawa ya kidonda ndugu please ya mbadala please .nasikia eti asali ya nyuki wadogo wanasaidia kuponyesha ,mwenye ushaurii naomba please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta dawa ya murututu ule wa blue cristles. Saga weka kwenye kidonda. Tahadhari, lazima ushikiwe chini kwani maumivu yake si mchezo, lakini ni mara moja tu asubuhi tiyari umeshasahau na uponyaji unaanza mara moja.
Yapo magonjwa mengine hata hao madaktari wanacheza nachi tu
mrututu si sumu jamani?