A attachment Member Joined Sep 29, 2011 Posts 6 Reaction score 0 Dec 25, 2013 #1 Wakuu, kuna dawa yoyote mtu anaweza kupaka kwenye chunusi au kidonda na kikatengenezeka kidoti kama cha jokate?!
Wakuu, kuna dawa yoyote mtu anaweza kupaka kwenye chunusi au kidonda na kikatengenezeka kidoti kama cha jokate?!
Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,259 Reaction score 1,056 Dec 26, 2013 #2 kweli wewe ni attachment!! hicho kidoti ni natural na there's no way ukafake hiyo kitu. labda uwe na kazi ya kusiliba wanja kila siku
kweli wewe ni attachment!! hicho kidoti ni natural na there's no way ukafake hiyo kitu. labda uwe na kazi ya kusiliba wanja kila siku
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,358 Dec 26, 2013 #3 He! Makubwa!