INAUZWA Kids Tablet for sale

lookmoney

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
417
Reaction score
164
Karibu ujipatie tablet kwa ajili ya mtoto wako aweze kwenda sawa na kasi ya mabadiliko ya science na technology kwa 195,000tsh tu,Tablet hizi zina sifa zifuatazo.

[emoji3514] Zina uwezo wa internet, WiFi
[emoji3514] 32๐ ๐›, 3๐ ๐› ๐ซ๐š๐ฆ, ๐ช๐ฎ๐š๐ซ๐ ๐œ๐จ๐ซ๐ž ๐Ÿ.๐Ÿ“๐ ๐ก๐ณ
[emoji3514] Uwezo wa betri upo vizuri ๐Ÿ‘๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ฆ๐€๐ก
[emoji3514] Double camera Mbele na Nyuma
[emoji3514] Zina Play Store ambapo unaweza kudownload applications unazotaka
[emoji3514] Zina masomo tafauti na game ambazo tayari zimewekwa
[emoji3514] Zinakuja na Protection Case yake sio rahisi mtoto kuvunja
[emoji3514] Colors - ๐๐ฅ๐ฎ๐ž, ๐†๐ซ๐ž๐ž๐ง & Black ,Green, Chocolate,

Call,text or WhatsApp 0744551655 au njoo Magomeni mikumi kuona bidhaa zetu mbalimbali








 
Kuna Discount?
Ndani ya Box inakuja ikiwa na nini? (Charge,........,......, earphone)
Kwa tulio mbali na magomeni , mnafanya delivery?.

Confirm, if possible tufanye biashara Jumapili
 
Zinatumia line za simu? Hakuna za bei nafuu kidogo? Nahofia mtoto kuvunja
 
Kuna Discount?
Ndani ya Box inakuja ikiwa na nini? (Charge,........,......, earphone)
Kwa tulio mbali na magomeni , mnafanya delivery?.

Confirm, if possible tufanye biashara Jumapili

Bei inapoa kidogo..ndani ya boksi inakiwa na chaja yake ..delivery tunafanya mikoa yote tz
 
Zinatumia line za simu? Hakuna za bei nafuu kidogo? Nahofia mtoto kuvunja

Hizo hazitumii line..ila zinazotumia line zipo..sio rahisi mtoto kuvunja maana zinakuwa na kava zake zenye mfumo wa mpira
 
Tablet kwa ajili ya watoto bado zipo wana jf..ongeza hamasa ya mwanao kupenda kujisomea kwa kumsogeza karibu na ulimwengu wa science & technology.

Tupigie 0744551655 au fika magomeni mikumi kuona bidhaa zetu mbalimbali.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ