Kidudu kidogo sana kuzdi hata kibamia, nifanyaje nakimbiwa

Ndugu, pole kwa tatizo lako la kisaikolojia.

Binafsi nnaamini kuwa hakuna mwanaume mwenye uume mdogo au mwanamke mwenye uke mkubwa.

Kila mtu ameumbwa na mtu wake, kila mtu anaye wa saizi yake, sasa utamtambuaje?

Kuna elimu ilikuwa inatolewa jandoni au kwa kuku saidia, angalia/ tafuta kitabu kinacho itwa "sexual reflexiology" kitakusaidia kujua ni yupi anakufaa.

Ukiona shida, kuna njia 3 ambazo unaweza kuzitumia ili kurefusha na kunenepesha uume wako bila kutumia madawa. Njia hizo ni;

1. Stretching.

2. Jelquing

3. Kegel exercise.

Maelekezo tafuta kwenye internet.

Kumbuka, kila mwanaume ana mwanamke wa saizi yake.
 
Asante sna hebu ngoja nfatlie kiundan
 
Ungeeleza kiundani izo mbinu mdau
 
habar ndg zng
mficha maradh kifo humuumbua,mm ni kijana wa miaka 26,nafanya kaz sekta ya utalii,toka ujana wng cjapata bahat ya kudum na mwanamke,nmekuwa nkpendwa sna na wanawake lkn kla bada ya kufanya nao tendo mapenz huyeyuka na kuachwa solemba,mpka imefka wakat nkazoea hyo hal nkawa nam na hit an run kma walvyokuwa wananfanyia wao,mpka ss nmetembea na mabnt zaid ya 60 nmechoka nahtaj wa kuoa,tatzo wengne wanasema kabsa zair nawachafua kdudu chang kdogo sna hawajapata kuona,nifanyaje na nmeshatumia dawa nyng za asil hazkunsaidia ni utapel mtupu na za kichna naziogopa?

Pole sana boss,ila bado unakuwa na dushe litakuwa tu usikate tamaa.
 
Zaidi ya kibamia ndo nchi ngapi iyo mdau?au moja na nusu ikiwa imedinda,maana kwa maelezo yko kila nkijenga picha hainijii akilini..."kidude kidogo mno hawajapata kuona"lol
 
Mleta uzi wewe unaleta matani kwenye maisha yako wewe utakuwa na mshiba au busha
 
Back
Top Bottom