Kiduku anataka kucheza na Mwakinyo?

Kiduku anataka kucheza na Mwakinyo?

Makonyeza

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
72
Reaction score
261
Mashabiki wa Kiduku,

Mwambieni bondia wenu sisi hatuchezi na bondia ambaye hajawahi kushinda nje ya Tanzania.

Ili awe na sifa za kucheza na Mwakinyo kwanza Kiduku akacheze nje ya nchi ashinde, baada ya hapo tutasaini mkataba naye.
Ngumi ndio kazi yetu [emoji123][emoji123]

Lakini hatuchezi kiholelaholela tu, tunacheza kwa mikakati endelevu, YES[emoji123][emoji123]

_20220331_083341.JPG
 
Kila mmoja yupo sahihi.

Mwakinyo kaishajitengenezea njia yake kupiga pesa.

Kiduku anataka kupitia njia ya mwenzie kupiga pesa.

Hapo kinachotafutwa sio heshima, ni pesa.
 
Back
Top Bottom