TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Shosti kaja na mapya,hebu msikie:
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanakufaa wewe tu
sasa mbona kavaa ile rangi inayoleta kichefuchefu. na anaposema uzoefu anamaanisha wa kuiba, wa mikataba feki, wa kuvunja sheria za nchi au anasema tuchague wenye uzoefu gani?
sasa mbona kavaa ile rangi inayoleta kichefuchefu. na anaposema uzoefu anamaanisha wa kuiba, wa mikataba feki, wa kuvunja sheria za nchi au anasema tuchague wenye uzoefu gani?
Uzoefu ni kuchukua masuulia yote ya kuongoza nchi, yaani usalama, uchumi, nk. hakuna nafasi kwa wanafunzi katika uongozi wa nchi. kuongoza si lele mama inataka walio na uzowefu. wananchi wenyewe wanajionea Tanzania ilivyopiga hatua miaka 20 iliopita.