Kidume wa Tanzania na anayefaa kuitwa wa kimataifa

Nashukuru kwa kukubali kuwa Simba ni kidume kwa Yanga ya matopeni[emoji14] [emoji13] [emoji20] [emoji12]

Nashukuru pia kwa kukubali kiwa udume wa Simba haitoifanya klabu ya Simba kurudi kwenye Ubora wake pasipo kuiga mikakati thabiti kama ya wenzetu ambao kwa sasa wapo kwenye kiwango kizuri.
 
Yanga hadi wanatia huruma jamani, mbembwe zoote zile, mechi tatu pointi moja, mahela yooote yale maskini ya Mungu, nilishawahi kuandika hapa kua Tanzania mpira hatuuwezi. Tuhamieni kwenye boxing na riadha, tutandelea kutiana aibu kila mwaka. Magufuli Tafadhali fungia mpira kabisa maana muda na pesa unapotea bure tuhamishie nguvu na akili kwenye riadha na boxing.
 
Yani unacheza dakika 270 ,unapata goli moja tu ,halafu unajiita wa Kimataifa hahahaaa bongo bwana.[emoji14] [emoji13] [emoji12]
 
mbona haujaweka kuwa Simba ndio timu ya kwanza mchezaji wake kukutwa Guest Morogoro akigeuzwa kinyume na maumbile.

Hiyo namba 8 kwa Taarifa yenu vyura wa Msimbazi wakati Simba wanaenda Poland mwaka 1974 Yanga walienda Romania na waliporudi katika ligi Uwanja wa Nyamagana Mwanza Mikia ikabanduliwa 2-1

Hiyo mwaka 1974 Simba walichukua ubingwa wa Africa Mashariki tu zilishiriki timu 4 kutoka Tanzania Uganda Kenya na Zanzibar....mwaka 1975 Yanga ndio walichukua ubingwa wa Afrika Mashariki na kati na timu zilizoshiriki ni kutoka Kenya Uganda Malawi Zambia Zanzibar na Tanzania timu 2
 
Yanga ndio timu ya Tanzania iliyowahi kupanda ndege na KOMBE. Simba Koko a.k.a mama wa nyumbani, mara zote alizochukua hilo kombe la Afrika Mashariki na Kati amechukulia nyumbani.

Simba haijawahi kuthubutu kuvuka mipaka, ikapambana na kurudi nyumbani na trophy. Kitu pekee Simba imewahi kusafiri nacho ni Kombe la Maulid, huchezwa huko Zanzibar ambayo ni sehemu ya Tanzania.
 

Attachments

  • upload_2016-7-18_16-15-7.jpeg
    25.4 KB · Views: 59
Ndala bwana kelele mpaka povu ,shoka moja tu mbuyu chali.
 

Umemsahau Nteze John Rungu.
 
Yanga watalii wakimataifa hawana lolote wanaloweza jivunia zaidi ya lile bwawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…