Kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi kinauzwa shillingi ngapi?

Kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi kinauzwa shillingi ngapi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kutokana na utata wa kuandama Kwa mwezi pamoja na ukuaji wa technology naomba kufahamu endapo kipo kifaa maalum chakuangalia kuandama Kwa mwezi na gharama yake NI kiasi gani ili tuweke mikakati yakukinunua na kukiweka kwenye mamlaka husika.

Tanzania tuna wadau wengi wanapenda kufanikisha ibada Kwa wale wote wanaopenda ibada. Tumejenga miskiti nataasisi mbalimbali, tumefunga na tungependa kuwa na uhakika nafunga Kwa kipindi kijacho hasa eneo la kuandama Kwa mwezi. Tusaidiane mawazo tulitatue ili
 
Uongozi wa Dini yenu ndo una shida, Kila mwaka wao wanaenda tofauti na wenzao kidunia, kwa ufupi serikali ndo inaamua Idd mle lini
 
Hii serikali inapenda kushika watu maskio na kucontrol hadi taasisi za kidini, Kama yenyewe ilivyoshikwa maskio na Marekani.
 
kuna mmoja pale maeneo ya mwenge lilimwona anatizama juu kama kuku nikajua lazima atuingize chaka tuh
 
Ndugu Shtuka,m acha kuendelea kuburuzwa na BAKWATA, BAKWATA ni tawi la CCM.
 
Back
Top Bottom