Kifaa cha kuchunguza magonjwa yote

Kifaa cha kuchunguza magonjwa yote

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Wadau,nahitaji kifaa cha kuchunguza magonjwa yote cha mkononi. Nikiwa kwenye gari nimemuona mama mmoja anaangalia katalogi ya vifaa vya tiba nikakiona nikiwa nachungulia kwa pembeni. Kwa wahusika wa FLP,GNLD,TIANSH na mengine. Na je kama ipo bei yake shilingi ngapi?Naweza kumudu?
Nawashukuru mno.
 
Pastor Achachanda, Si rahisi kama watu wanavyofikiri, utarubuniwa na kulaghaiwa....Ningekushauri ufuate upimaji wa 'njia za kawaida' na si kutapeliwa!
 
Last edited by a moderator:
Mbona vipo na kama hivyo vya mkononi havina madhara. Mi nilimnunulia mama kifaa cha kushusha BP na hicho nenda TIENS
 
Back
Top Bottom