Kifaa cha kuhesabu bidhaa

Kifaa cha kuhesabu bidhaa

nyabaheta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
247
Reaction score
82
Habari zenu wadau
Mimi namiliki duka la rejareja hapa mjini,napata shida sana ya kuhesabu bidhaa mara kwa mara,sasa natafuta mashine itayofanya hiyo kaziili kujua kila bidhaa inayotoka kama zile wanazotumia kwa supermarkets,kwa yeyote anayejua zinapopatikana hapa dar anijuze tafadhali.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nadhani kitu cha kwanza kabisa ni kuwa na bar coding system,ile scanner inakuwa inakusaidia tu kujua kipi kimeingia na kipi kimetoka.......nadhani Namtech walikuwa/wako Samora pale opp. Na askari monument wanaweza kukupatia solution.
 
Back
Top Bottom